Uchujaji wa Mafuta
transformers oil purification
Mashindano ya Equestrian
Udumishaji wa mafuta
Utoaji wa gesi zilizopita kiasi kwenye mafuta
Udumishaji wa vifaa vya transfoma

Bidhaa

Habari & Vichapo

Kituo cha Globecore cha video

Kuhusu GlobeCore

GlobeCore GmbH  ni mojawapo wa viongozi katika viwanda vya utengenzaji. Bidhaa za GlobeCore zinatumika katika usafishaji na utoaji wa esi zilizopita kiasi kwenye mafuta, Uzuizi katika uchujaji wa mafuta, utoaji ombwe kwenye transfoma za umeme.

Ofisi kuu iko Oldenburg, Germany. Mifumo yetu imesambazwa na kutumika kufanya azi katika mataifa 70.Mtandao wa walanguzi 17 husaidia uuzaji na utoaji huduma kimataifa.GlobeCore ilianzisha maofisi wakilishaji Marekani, Afrika Kusini, na Muungano wa Falme Za Kiarabu ili kuendeleza na kufikia ufanisi. Sisi hutia bidii kuendeleza maeneno yetu ya uzalishaji na uuzaji, kuendeleza miundombinu yetu na kuongeza huduma zaidi.

GlobeCore ni mshiriki wa Chama cha Nishati ya Upepo Marekani (American Wind Energy Association) www.awea.org. GlobeCore  leo ni kampuni kubwa. Zaidi ya wataalamu 260 hufanya kazi kama timu kuanzia ukataji wa chuma hadi ukusanyaji wa mwisho wa bidhaa. Kituo cha uzalishaji kimetayarishwa kwa kufuata viwango vya kimataifa vya viwanda: kina vikataji vya kiroboti za plasma za kukata chuma, mifumo ya kuchomelea ya kiautomatiki, na mashine za kisasa kinazodhibitiwa na PLC.

Wafanyakazi wa uhandisi kutengeneza kwa utaratibu vifaa vipya vya usafishaji wa mafuta na kuboresha bidhaa zilizopo. GlobeCore hutengeneza mamia ya vitengo kila mwaka na kila bidhaa hufanyiwa majaribio kikamili katika kituo cha majaribio cha kampuni. Mamia ya barua na maoni huthibitisha kuwa tunaendelea katika njia inayofaa. Katika muda mrefu ambao kampuni imekuwepo, tumeweza kuanzisha wasiliani kadhaa na kutengeneza mtandai mpana wa wateja wanaorudi tena. Na hatutaacha sasa. GlobeCore iko wazi kwa wawezao kuwa wateja na kuendeleza mwaliko kwa watu wote waweze kutembelea kituo chetu.

Maeneo Yetu