VITENGO VYA UZALISHAJI UPYA WA MAFUTA VYA UVR

UVR ni kitengo chenye majukumu mengi kilichotengenezwa ili kusafisha, kufanya wazi, kuzalisha upya, na kutoa harufu kutoka kwenye bidhaa yoyote ya kemikali za petroli. Kitengo hiki kinaweza kuendeshwa na kituo chochote, hakihitaji uwekaji wa kipekee, kinasafirishwa kwa urahisi, na kinafanya kazi bila kelele yoyote. Viwanda hivi huja na miundo mitatu:

  • Fremu ya kijumla ya viwanda;
  • Debe la kijumla la viwanda;
  • Inayothibiti moto na milipuko (debe lenye milango inayobingirika).

Vitengo vya GlobeCore vya UVR vimetengenezwa kwa uzalishaji upya na usafishaji wa fueli na mafuta ya madini yaliyotumika. Mchakato wa UVR ni wa kipekee na GlobeCore teknolojia ya GlobeCore hailingani na nyingine yoyote duniani. Mchakato huu ni wa kipekee na ulioendelezwa hivi kwamba unaweza kuzalisha upya fueli na mafuta ya madini yaliyotumika ya aina yoyote. Vitengo vya mchakato wa GlobeCore vya UVR vinaweza kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji ili kusindika aina yoyote ya fueli au mafuta yaliyotumika. Hakuna haja ya kubadilisha mashine unaposindika aina tofauti ya mafuta au fueli. Kitengo kile kile cha UVR kina uwezo wa kusindika aina nyingi tofauti za fueli na mafuta yaliyotumika. Vitengo vya UVR vinaweza kusafisha na kufanya wazi dizeli nyeusi na fueli za mafuta mazito. Vitengo vya UVR hutoa sulfuri, misombo ya hidrojeni sulfuri, lami, na uchafu mwingine. Bidhaa za mafuta na fueli hubaki kuwa safi na thabiti baada ya mchakato wa uzalishaji upya. Vitengo vya GlobeCore vya UVR vimeweza kusindika kwa mafanikio mafuta yenye nguvu ya transfoma, mafuta ya turbini, mafuta ya viwandani, mafuta mazito, na fueli za dizeli katika mamia ya vituo kote duniani. Vitengo vya GlobeCore vya UVR huendeshwa kwa kutumia kifaa cha kufyonza cha kipekee huku kikiunganisha gharama ya chini na utendaji wa juu ili kurudisha mafuta na fueli katika hali iliyo kama mpya. Mara nyingi, bidhaa iliyozalishwa upya huwa na ubora wa juu zaidi kushinda ilipokuwa mpya.

Muundo – thibiti kwa mlipuko, kwenye debe. Kiwanda cha UVR husafisha dizeli nyeusi na fueli za mafuta mazito, hutoa sulfuri na misombo ya hidrojeni sulfuri, hufanya wazi kwa urahisi misombo ya gesi, hutoa emboe na uchafu mwingineo.Fueli zilizosindikwa hufuata viwango na mahitaji ya hali ya juu ya usafi. Kitengo hiki hutoa harufu zisizopendeza kama vile hidrojeni sulfuri n.k. Mafuta yaliyosindikwa hubaki thabiti na hayawi meusi baada ya kuzalishwa upya na kusafishwa. Vitengo vya UVR huwa havitumii mifumo ya kiautomatiki ya ufyonzaji iliyo kwenye vitengo vya CMM-R. Vitengo vya uzalishaji upya vya UVR hutumia “Bleaching Clay” badala ya Fuller’s Earth.

Usindikaji Wa Mafuta Kiwango Kwa Saa m3/gals.
UVR-450/6 0.08/21.2
UVR-450/16 0.2 /53
UVR-450/16K 0.2 /53
Kipengele Kiwango
Kiwango cha uzalishaji, m3/hour/gals. Kwa saa: UVR-450/6 UVR-450/16 UVR-450/16/k UVR-450/16/v
• mafuta ya transfoma 0.08-0.1/21.2 0.20-0.27/53.0-71.5 0.20-0.27/53.0-71.5 0.20-0.27/53.0-71.5
• mafuta ya turbini 0.08-0.1/26.5 0.20-0.27/ 53.0-71.5 0.20-0.27/ 53.0-71.5 0.20-0.27/53.0-71.5
• mafuta ya viwandani 0.08-0.1/26.5 0.15-0.20/39.2-53.0 0.15-0.20/39.2-53.0
• fueli za mafuta meusi 0.25/66.2 0.6-0.8/159-213 0.6-0.8/159-213 0.6-0.8/159-213
• fueli za dizeli nyeusi 0.25/66.2 0.6-0.8/159/213 0.6-0.8/159/213 0.6-0.8/159/213
• mgandamo wa gesi nyeusi 0.30/19.4 0.7-1.1185/291 0.7-1.1185/291 0.7-1.1185/291
Matumizi ya poda ya uzalishaji upya kama asilimia ya uzito wa bidhaa zilizosindikwa

• mafuta ya transfoma

• mafuta ya turbini

3-17

3-17

3-17

3-17

3-17

3-17

3-17

3-17

• mafuta ya turbini 3-17 3-17 3-17
• fueli za mafuta meusi

• fueli za dizeli nyeusi

• mgandamo wa gesi nyeusi

2-15

1-7

1-5

2-15

1-7

1-5

2-15

1-7

1-5

2-15

1-7

1-5

Kiasi cha poda ya uzakishaji upya 20 /44.2 20 /44.2 20 /44.2 20 /44.2
• koko moja la uzalishaji upya, kg/lbs
• koko zote za uzalishaji upya, kg/lbs 120/265.2 320/707.2 320/707.2 320/707.2
Upotevu (wa bidhaa za mafuta) % ya kiasi cha awali (kinachobaki kwenye kifaa cha ufyonzaji)

• mafuta ya transfoma

• mafuta ya turbini

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

• mafuta ya viwandani 1-6 1-6 1-6 1-6
• fueli za mafuta meusi

• fueli za dizeli nyeusi

• mgandamano wa gesi nyeusi

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

1-6

Jumla ya nguvu za vipasha joto, kW 1.98 5.28 5.28
Nguvu teuzi, kW 5 8 13 8
Matumizi ya nguvu vipashajoto vikiwa zimezimwa, kWh 3 2.72 7.7 5
Ubora wa Uchujaji, kwa microns 500 500 500 500
• ghumba
• njia ya kutolea 5 (3) 5 (3) 5 (3) 5 (3)
Nguvu za awamu tatu50(60) Hz volteji, V 380 380 380 380
Pandeolwa mm/ft, urefu/upana / kimo Sehemu 1 Sehemu 1 Debe Sehemu 1
2600/1500/2030 4800/1500/2140 6060/2590/2440 4800/1500/2140
8’6”/4’11”/6’8” 15’9”/4’11”/7’ 19’11”/8’6”/8’ 15’9”/4’11”/7’
Uzito, kilo/lbs 1100/2,431 2350/5,193.5 7000/15,470 3400/7,514

  • Matumizi mengi. UVR inaweza kuzalisha upya, kuongeza uwazi, kuchuja, na kusafisha sio tu fueli ya dizeli mbali pia madini ya mafuta, HFO, mgandamano wa gesi n.k.;
  • Kitengo hiki kinaweza kuendeshwa katika hali-tumizi ya utumiaji wa mikono au nusu-otomatiki. Hii inasaidia kupunguza gharama ya kazi kwa sababu uwepo wa mwendeshaji ujnahitajika tu kuanzisha, kusimamisha, na kubadilisha kifaa cha ufyonzaji;
  • Ufanisi wa nishati. Matumizi halisi ya nguvu za umeme hayapiti 3 kW/h wakati wa usafishaji wa fueli ya dizeli;
  • Kitengo hiki hakihitaji matumizi magumu unapobadilisha kwenye bidhaa nyingine iliyosindikwa;
  • Kiwanda kinahakikisha bidhaa inayotolewa inalingana kikamilifu na ubora na mahitaji yaliyomo.

Get a QuoteQuote for :