GlobeCore/ Bidhaa/ UTOAJI WA GESI ZILIZOPITA KIASI, UKAUSHAJI WA MAFUTA…/ KITENGO SABILI CHA KUTOA GESI ZILIZO PITA KIASI CHA CMM-6/7

KITENGO SABILI CHA KUTOA GESI ZILIZO PITA KIASI CHA CMM-6/7

máquina de desgasificación de aceite de transformador

СММ-6/7 kimekusudiwa kwa usafishaji wa mafuta ya transfoma yenye nguvu za umeme, kutoa maji, gesi na chembechembe, na utengenezaji wa ombwe kwenye transfoma.

Kitengo hiki huwa kinatumika katika uwekaji, uendeshaji, na kuhudumia vifaa vya volteji ya juu vilivyojazwa mafuta (transfoma, swichi za volteji ya juu n.k.).

Kitengo hiki kinaweza kuendeshwa katika hali zifuatazo:

 • kupasha joto kwa transfoma: katika hali hii mafuta yanachujwa na kupashwa joto;
 • kutoa gesi zilizopita kiasi: hali hii ni ya kuchuja, kukausha, na kutoa gesi zilizopita kiasi kwenye mafuta;
 • kutengeneza ombwe kwenye transfoma.

Kipengele

Kiwango

Uwezo, kyubiki mita/saa, isio chini ya

 

– hali ya kutoa gesi zilizopita kiasi, kukausha, na kuchuja

6

– hali ya kupasha joto na kuchuja

14

* vipengele vya mafuta yaliyosindikwa:

 

– kiwango cha gesi, % mjao, upeo

0,1

– kiwango cha maji, ppm, upeo

5

– ISO 4406 darasa la usafi

-/14/12

Kiwango cha juu cha halijoto ya mafuta yanayotoka kwenye hali ya kupasha joto, ºС

90

Mkazo kwenye kilango cha kutoa mafuta, MPa

0,2

Kiwango cha juu cha nguvu ya kipasha joto, kW

125

Kiwango cha juu cha matumizi ya nguvu, kW

175

Mkazo unaobaki kwenye kitengo cha ombwe cha kutoa gesi zilizopita kiasi, Pa, upeo

267

Mkazo unaobaki kwenye kitengo cha ombwe cha jaribio la kufunganisha, Pa, upeo

26,7

Kiwango cha juu cha hewa inayovuja katika jaribio la kufunganisha la saa moja, Pa

267

Usambazaji wa nguvu

 

– volteji, V

220

– marudio, Hz

60

Pandeolwa, mm

 

– urefu

2680

– kimo

2110

– upana

2150

Uzito, kilo

2710

* Kumbuka – Vipengele vya ubora vya mafuta vya awali:

 • kiwango cha gesi: chini ya asilimia 10.5% mjao
 • kiwango cha maji: chini ya asilimia 0.01% (100 g/t)
 • halijoto: zaidi ya 0 ºС.

 • kina matumizi mengi;
 • hakuna haja ya kutumia vyombo vya kufyonza kwa ukaushaji wa mafuta ya transfoma;
 • hakuna uchafuzi wa mazingira na hakuna mitiririko ya uchafu ya kutupa au kuhifadhi;
 • uendeshaji na uhudumiaji rahisi;
 • ubora wa hali ya juu wa mafuta hata baada ya mzunguko wa usindikaji mmoja;
 • mahitaji ya chini ya nguvu za umeme;
 • viwango vya chini vya kelele.

Get a QuoteQuote for :

Messenger icon
Send message via your Messenger App