GlobeCore/ Bidhaa/ UTOAJI WA GESI ZILIZOPITA KIASI, UKAUSHAJI WA MAFUTA…/ KIWANDA SABILI CHA MAFUTA CHA CMM-10/15

KIWANDA SABILI CHA MAFUTA CHA CMM-10/15

Kitengo kimetengenezwa kama kitengo kamili na vipengee vyote vya uendeshaji vilivyohifadhiwa na paneli za chuma na milango ya springi inayofunguka kwa urahisi kwenye pande na nyuma ya kitengo. Kitengo hiki “kwenye chombo” huekwa kwenye usawia wa ekseli ya trela ambayo inakubalika kisheria barabarani na ni tayari kusafirishwa mahali popote.

Kitengo hiki kina kitengo cha ombwe, pampu la mafuta yanayoingia na pampu la mafuta yanayotoka, vichujio vya ulaini na uparuparu, mtego wa mafuta, kipasha joto cha mafuta, mabomba yenye vilango, sehemu ya pampu la ombwe, na kabineti ya udhibiti.

Kipengele

Kiwango

Uwezo, kyubiki mita/saa / galoni kwa saa:

 

●     hali ya kutoa gesi zilizopita kiasi, kukausha, na kuchuja

8/2117

●     hali ya kupasha joto na kuchuja

15/3970

Vipengele vya mafuta yaliyosindikwa *:

 

●     mjao wa kiwango cha gesi asilimia %, upeo

0.1

●     kiwango cha umaji ulio kwenye mshikano, gramu/toni, upeo

3.0

●     ulaini wa uchujaji, mikroni

1

Halijoto ya mafuta yanayotoka katika hali ya kupasha joto, ºС/ ºF

90/194

Mkazo kwenye kilango cha kutoa mafuta, MPa

0.4

Nguvu ya kipasha joto, Kw

180

Kiwango cha juu cha matumizi ya nguvu za umeme, kW

210

Mkazo unaobaki kwenye kitengo cha ombwe wakati wa utoaji wa gesi zilizopita kiasi, mbar, upeo

267

Mkazo unaobaki kwenye kitengo cha ombwe wakati wa jaribio la kubana hewa, mbar, upeo

26.7

Uvujaji wa hewa kwenye kitengo kwa muda wa saa moja, mbar upeo:

267

Vipengele vya nguvu ya umeme

 

●     volteji, V

415

●     marudio AC, Hz**

50/60

Pandeolwa, mm/ft, upeo

 

●     Urefu

4750/15’7’’

●     Kimo

2100/6’11’’

●     Upana

2320/7’7’’

Uzito, kilo/lbs, upeo

3500/7735

Kumbuka: * vipengele vya mafuta vya awali:

  • mjao wa kiwango cha gesi – chini ya asilimia 5%;
  • kiwango cha umaji ulio kwenye mshikano – chini ya asilimia 01% (100 g/ton);
  • halijoto – zaidi ya 0 ºС/ 32 ºF.

**Vifaa vyote vinavyouzwa Marekani vimeundwa kufanya kazi kwenye kiwango cha nguvu za umeme cha 60 Hz AC

  • nguvu ya mafuta ya transfoma inaongezeka na kuwa angalau 70 kV;
  • ukaushaji wa transfoma sambamba na usindikaji wa mafuta;
  • kujaza kwa awali kwa vifaa vya stima na mafuta ya transfoma;
  • utengenezaji wa ombwe kwenye transfoma na vifaa vingine vya stima;
  • uendeshaji na huduma ni rahisi.

Get a QuoteQuote for :

Messenger icon
Send message via your Messenger App