GlobeCore/ Bidhaa/ VITENGO VYA UTENDESHAJI UPYA WA VIFYONZAJI/ KITENGO CHA UTENDESHAJI UPYA WA VIFYONZAJI CHA CMM-4RP

KITENGO CHA UTENDESHAJI UPYA WA VIFYONZAJI CHA CMM-4RP

unidad de regeneración de adsorbentes

Usafishaji wa ufyonzaji wa bidhaa za mafuta huziruhusu kuboreha sifa zao za kimaumbile na kikemikali bila kubadilisha mtungo wa bidhaa zile. Mchakato huu hutoa hidrokaboni zisizo kifu na zenye harufu, lami, nitrojeni, sulfuri, nna misombo yenye ksijeni.

Athari hii ni juu ya uwezo wa kifyonzaji kukamata vichafuzi. Baada ya muda, kiwango cha ufyonzaji hupungua na kusimama baada ya kiasi fulani cha msawazo kufikiwa. Kwa wakati huu, kifyonzaji kinafaa kubadilishwa au kurejeshwa upya.

Mbinu ziliziko za urejeshaji upya wa kifyonzaji huwa na hasara kubwa (zinazofikia asilimia 30) za kifyonzaji na bidhaa iliyosindikwa. Mambo haya yaliifanya GlobeCore kuanzisha vitengo vya CMM-4RP  vya kurejesha upya vifyonzaji vya usafishaji wa mafuta.

Kifaa hiki kimekusudiwa kurejeshavifyonzaji vilivyolowa baada ya kutumika kwenye usafishaji wa mafuta. Kwa kutumia CMM-4RP unaweza kuokoa gharama ya kununua vifyonzaji vipya na kutupa vifyonzi vilivyotumika.

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA:

 1. Ni vifyonzaji vipi ambavyo vinaweza kurejeshwa upya na CMM-4RP?

Kifaa hiki kinaweza kutumika kurejesha upya Fuller’s earth, aina kadhaa za udongo wa kupararisha, palygorskite n.k.

 1. Ni kiasi kipi cha kifyonzaji kinachopotezwa wakati wa urejeshaji upya?

Chini ya asilimia 3 hadi 10.

 1. Je, urejeshaji upya huchukua muda kiasi gani?

Hadi masaa 20.

 1. Ni kiasi kipi cha kifyonzaji ambacho kinaweza kurejeshwa upya katika mzunguko mmoja?

Hadi kilo 300.

 1. Je, ni nini ambacho kinafaa kufanywa ikiwa mchakato wa urejeshaji upya hautaanza katika mojawapo ya safu?

Kila safu ina utendaji wa tofuati. Katika hali hii, safu yenye shida hufungwa na mchakato kuendelea katika safu zingine.

 1. Je, garanti ya kifaa hiki ni ipi?

Miezi 12 kutoka tarehe ya uanzilishaji.

Kipengele

Kiwango

1 Nguvu nominela, kW

18

2 Nguvu ya jumla inayotumika katika mzunguko mmoja wa urejeshaji upya, kW×h

70

3 Volteji, V

Kibinafsi

4 Mfumo wa udhibiti

Automatiki kwa kadri  fulani

5 Pandeolwa, mm

– urefu

– upana

– kimo

2800

2150

2150

6 Uzito, kilo

2200

 • utoaji kamili ya mafuta yaliyokamatwa na kifyonzaji;
 • matumizi tena ya kifyonzaji hadi mara kumi baada ya kurejeshwa upya;
 • kifyonzaji kilichorejeshwa upya kinaweza kusafisha bidhaa zenye kiwango chochote cha uchafuzi;
 • gharama ya urejeshaji upya inapunguzwa;
 • gharama ya usafirishaji inapunguzwa;
 • kifyonzaji kinaweza kukomeshwa kwa kutupwa bila athari hatari kwenye mazingira.

Get a QuoteQuote for :

Messenger icon
Send message via your Messenger App