GlobeCore/ Bidhaa/ JOKO LA KUKAUSHA OMBWE/ TANURI LA OMBWE LA TRANSFOMA

TANURI LA OMBWE LA TRANSFOMA

séchage de transformateur

Tunakazia umakini wako kwenye tanuri la ombwe la transfoma iliyokusudiwa kukausha chembechembe za vizuizi vya transoma.

Kwa kawaida wakati wa utengenezaji au urekebishaji wa transfoma unyevu hutolewa kwenye kizuizi cha karatasi. Kizuizi kilichokaushwa huwa na nguzu mara 20 zaidi ya kile ambacho hakijakaushwa, kwani unyevu huathiri kiwango cha nguvu.

Kulingana na aina za transfoma, kuna njia kadhaa za kutoa unyevu kwenye sehemu inayotumika. Njia mojawapo ni kukausha na tanuri ya ombwe(joko la ombwe).

Ukaushaji wa transfoma za umeme na tanuri za ombwe una faida zifuatazo:

  • uvukizaji wa kiasi cha juu zaidi ukilinganisha na ukaushaji wa hewa iliyokauka au ukaushaji wa kawaida;
  • utendaji wa jumla bora na muda mfupi wa usindikaji.

GlobeCore hutoa tanuri la ombwe la transfoma lenye marekebisho ili kukidhi mahitaji maalum ya mteja. Muundo, utendaji, pandeolwa, na mahali itakakowekwa, jinsi ya kupakia ,kiasi cha ujiendeshaji, n.k.

Picha inayofuata inaonyesha kabati ya ukaushaji wa ombwe la UVS-6S.

TANURI LA  OMBWE LA TRANSFOMA: SEHEMU KUU NA MKUSANYO

 

1 – Kabati la udhabiti

2 – Kitengo cha ombwe cha BV-1000

3 – Kishindilizi

4 – Kipasha joto cha mafuta cha PPM-18

5 – Mtonesho wa mvuke

6 – Tenki la kukusanya matone

7 – Kitengo cha tanuri

8 – Mlango wa kitengo cha tanuri

9 – upakio-telezi

KANUNI ZA UENDESHAJI

Sehemu tendaji ya transfoma hupakiwa kwenye upakio-telezi na kreni au kipakizi. Udhabiti wa mwendo wa upakio, kufunga na kufungua milango ya kitengo cha tanuri huendeshwa na operata kutoka kwenye kabati la udhabiti.

Upashaji joto wa kitengo cha tanuri hufanywa kwa mafuta ya kiufundi, ambayo hufanywa kuwa na halijoto ifaayo kwa kupitishwa kwenye kipasha joto.

Kumbuka kuwa bei ya tanuri ya ombwe la transfoma hulingana na pandeolwa, kiwango, na vipengele vya kiteknolojia vya mchakato wa mteja.

VIPENGELE ZAIDI

Pia, GlobeCore hutengeneza vitengo vya ukaushaji vya ombwe vya mali ghafi kadhaa:

  1. poda na gundi;
  2. bidhaa za chakula;
  3. mbao, n.k.

  • ukaushaji sawa wa kiwango cha kiini kamili;
  • matumizi ya kiuchumi ya stima;
  • muda uliopunguzwa wa ukaushaji;
  • utendaji rahisi;
  • utoaji wa unyevu kwenye kitengo.

Get a QuoteQuote for :

Messenger icon
Send message via your Messenger App