GlobeCore/ Ukurasa wa Msaada

Ukurasa wa Msaada

Kanuni za Maingiliano na Kusaidia Wateja

Maingiliano na kusaida wateja wakati unaofaa ni mojawapo wa vipaumbele vya GlobeCore’s licha ya eneo la mteja, shukran kwa mtandao ulioendelea wa wawakilishaji na vituo vya huduma. Wataalam wa GlobeCore  huwa tayari kila wakati kusaidia na kutoa huduma ya udumishaji na urekebishaji wa vifaa. Wataalam wa kampuni hutoa udumishaji wa kurekebisha na kuhifadhi vifaa vya usafishaji na uzalishaji upya wa transfoma, tabo, mafuta ya viwanda na mengineo, na vile vile utengenezaji wa emalshani ya bitumen na vifaa vya kurekebisha bitumeni. Katika uhusiano na wateja, kampuni yetu inaelekezwa na kanuni zifuatazo:

  • Ushauri usio na malipo. Unaweza kupokea ushauri kutoka kwa wataalamu wetu walio hitimu kwa kiwango cha juu unapochagua vifaa vyako ili kuhakikisha suluhisho bora zaidi
  • Mbinu kibinafsi. Kila kitengo kimeundwa na kutengenezwa ili kutosheleza mahitaji binafsi ya kila mteja
  • Usaidizi wa uanzilishaji. Panapohitajika, wataalam wa kampuni huja hadi mahali ulipo kwa uanzilishaji wa vifaa
  • Chaguo la speapati pana. GlobeCore hudumisha akiba kubwa ya speapati ili kukinga dhidi ya hasara za muda mrefu wa mapumziko ya vifaa na hasara zinginezo
  • Mafundisho ya wafanyakazi. GlobeCore hutoa mafundisho kwa waendeshaji wa vifaa vyote kwenye uwanjia na vilvile katika vituo cha kampuni cha ufundishaji katika Oldenburg, Ujerumani. Video zaidi za mafundisho kwa waendeshaji zinapatikana kwa ombi.
  • Uboreshaji. GlobeCore wana ujuzi wa kipekee wa kuboresha vifaa vinavyoendeshwa sasa hivi ili kurefusha maisha yake
  • Huduma ya uhakikisho na baada ya muda wa uhakikisho. Kazi zote zinazofanywa na GlobeCore huwa na uhakikisho. Huduma ya baada ya uhakikisho inawezekana kwa makubaliano kando

Una maswali? Wasiliana nasi kupitia marketing@globecore.de.

Messenger icon
Send message via your Messenger App