GlobeCore/ Bidhaa/ MIFUMO YA UCHUJAJI WA MAFUTA/ KITENGO CHA UCHUJAJI CHA CFU

KITENGO CHA UCHUJAJI CHA CFU

Kitengo cha CFU ni kitengo sabili cha uchujaji kilichokusudiwa kutoa chembechembe kutoka kwenye vilainishaji na mafuta ya transfoma yenye mnato usiozidi 70 cSt katika 50°C/122°F.

Hali za uendeshaji:

 • Halijoto ya 283 hadi 308 K (+10 hadi +35°C/ 49.7 hadi 97.73°F);
 • Mkazo wa 84 hadi 106.7 kPa (630 hadi 800 mm.hg);
 • Mwinuko wa hadi mita 2000 /fiti 6561 juu ya usawa wa bahari;
 • Eneo salama kutoka mlipuko na moto.

CFU ni troli sabili iliyo na kichujio kifyonzaji kinachokusudiwa: (1) kutoa chembechembe mango; (2) kutoa jivu; (3)kutoa maji yaliyoyaika; (4) kutoa asidi zinazoweza kuchanganyika na maji; na (5) kutoa magadi kutoka kwa mafuta ya viwanda yenye mnato usio zidi 70 cSt katika 50°C/122°F.

Hali za uendeshaji:

 • Halijoto ya +10 hadi +35°C/ 50 hadi 98°F);
 • Mkazo wa 84 hadi 106.7 kPa (630 hadi 800 in. hg);
 • Kiwango cha juu cha mwinukoo juu ya usawa wa bahari wa mita 2000 /fiti 6561;
 • Eneo salama kutoka kwa mlipuko na moto.

Kipengele

Kiwango

CFU-1.7

CFU-4

CFU-6

Uwezo, kyubiki-mita/saa / galoni kwa saa

1.7/450

4/1059

6/1588

Ulaini wa uchujaji, mikroni

5

25

20

Nguvu nominella, kW

2.2

3

3

Mkazo wa utoaji wa mafuta, MPa

0.25

0.3

0.3

Nguvu za umeme AC 50 Hz volteji, V

380

380

400

Pandeolwa, mm/ft urefu/ upana / kimo

600/600/1100

2’/2’/3’8’’

580/560/1115

1’11’’/1’11’’/3’9’’

670/625/995

2’3’’/2’1’’/3’3’’

Uzito, kilo/lbs

10/22.1

70/154.7

135/298.35

 

Kipengele

Kiwango

CFU 0.8

CFU 0.5

Uwezo, kyubiki-mita/saa/ galoni kwa saa

0.3…0.8*/79.4…211.7

0.5/132

Elementi ya kichujio:

• kichujio cha kina, kinaweza kuzalishwa upya

“APRIS”- 6MI-II

FE-18

• kichujio cha katriji

FE-16

Halijoto ya mafuta yaliyosindikwa, ºС/ ºF

20…50/ 68…122

20…50/68…122

Vipengele vya mafuta yaliyosindikwa:

• asillimia ya utoaji wa maji, %

92…98

• asilimia ya utoaji wa chembechembe, %

93…97

• uchujaji, mikroni

3…5

Nguvu nominella, kW

0.75

0.75

Mkazo wa utoaji wa mafuta, MPa

0.3

Nguvu za umeme za awamu tatu 50Hz AC volteji, V

380

380

Pandeolwa, mm/ft, urefu/ upana / kimo

580/480/1350

1’11”/1’7”/4’5”

640/640/1370

2’1”/2’1”/4/6”

Uzito, kilo/lbs

60/132.6

100/221

*Inalingana na aina ya mafuta yanayosindikwa

Kumbuka.Mtungamano unakubalika kwa mafuta ambayo hayana:

 • Michanganyiko inayowezesha mafuta kutega maji;
 • Emalshani za maji zilizoundwa kiufundi au kikemikali.

 • Ni rahisi kudumisha na kuendesha;
 • Ndogo;
 • Sabili;
 • Vyombo vya akiba zimetiwa ndani.

GlobeCore

Wacha ombi lako
Messenger icon
Send message via your Messenger App